kama una maoni au habari tafadhali tutumie kwa kupitia email yetu.shanellally@gmail.com
Burudani
Diamond amefanikiwa kupiga show ya kufa mtu jijini Kigali
katika siku ya mwaka mpya, January Diamond alitumbuiza na live band
na alipewa support na muimbaji wa Yamoto Band, Aslay. Kwenye show hiyo.
No comments:
Post a Comment