Kama wale wataalamu wa kitabu cha rekodikubwa duniani cha Guiness wakiamuakuangalia upande huu, huyu atakuwa ni mtu wa kwanza duniani kusoma akiwa na umri
mkubwa zaidi.Anatokea Afrika Mashariki, Kenya jirani zetu,
mwanamke huyo ana umri wa miaka 90 yukondani ya darasa la wanafunzi wa darasa la nne, ana muda wa miaka mitano tangu aanzekusoma, huenda akawa ndie mwanafunzi mzeezaidi Duniani anayesoma Shule ya msingi.alijiunga na shuleya miakamitano iliyopita , darasani ni mmoja ya
wanafunzi ambao wamekuwa msaada mkubwakwa wanafunzi wenzake ambao wana umri mdogo sawa na wajukuu zake.Priscilla Gogo Sitienei Leaders Vision Preparatory School Moja ya sababu zilizomfanya arudi darasani nikutaka kujua kusoma Biblia, anawahamasisha na wazazi na watoto kusoma shule.Kabla ya kurudi shule alikuwa mkunga kwa miaka 65 iliyopita kijiji cha Ndalat, Kenya.

No comments:
Post a Comment