Wezesha

kama una maoni au habari tafadhali tutumie kwa kupitia email yetu.shanellally@gmail.com

Saturday, 17 January 2015

RUGEMARILA AANZA KUTESA



Gari jipya la kifahari kabisa la Bwana Rugemalila wa VIP ENGINEERING aina ya RollsRoyce lawasili Dar Es Salaam jana kwa Ndege ya Cargo ya kukodi ya KLM. Tukio hili liliwaacha na taharuki wafanyakazi wa kiwanja hicho cha Ndege. 👆

No comments:

Post a Comment