Mbunge Joseph Mbilinyi (Sugu) amepata ajali akiwa na wenzake wanne ndani ya gari wakitoka Mbeya kuelekea Dar, ajali hiyo imetokea eneo la Kitonga, Iringa eneo ambalo lina kona kali za barabara.
hakuna mtu aliyefariki wala kupata majeraha makubwa ila Mbunge huyo ana
michubuko midogo midogo, Kamanda wa Polisi Iringa, Ramadhani Mungi
amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment