Wezesha
kama una maoni au habari tafadhali tutumie kwa kupitia email yetu.shanellally@gmail.com
Sunday, 22 March 2015
ZITTO AJIUNGA ACT
aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Ruyagwa Kabwe sasa ameamua kujiunga rasmi na chama kipya cha siasa cha ACT-Tanzania ambapo jana Jumamosi ya Machi 21 alipokelewa rasmi na chama hicho na kukabidhiwa kadi yake yenye namba 007194.
Hatua imekuja ikiwa ni siku moja tu baada ya Zitto kutangaza kuachia ubunge na kuandika barua rasmi ambapo sasa amekuwa mwanachama wa ACT-Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment