Wezesha

kama una maoni au habari tafadhali tutumie kwa kupitia email yetu.shanellally@gmail.com

Sunday, 3 May 2015

MYWEATHER TISHIO

Bondia Floyd myweather amedhihirisha ubabe wake baada ya kumshinda mfilipino Manny Paqiao kwa points 118-110,116-112,116-112. kwa mujibu wa majaji .Ushindi huo unamfanya bondia Myweather kushinda mapambano yake yote 48 bila kushindwa.



No comments:

Post a Comment