Mafuriko yalojaa pande zote za jijini Dar es salaam yanazidi kuleta taharuki na kuwaacha watu wengi wakihangaika na makazi hasa wale wanaoishi mabondeni,hata hivyo kuna ripoti kuwa watu 8 wameshapoteza maisha kutokana na mvua hizi na miundo mbinu ikiendelea kuharibiwa vibaya .
No comments:
Post a Comment