Wezesha
kama una maoni au habari tafadhali tutumie kwa kupitia email yetu.shanellally@gmail.com
Wednesday, 13 May 2015
SERIKALI YA BURUNDI YAPINDULIWA
Taarifa kuwa kuna uwezekano Jeshi limemwondoa madarakani Rais wa Burundi lakini taarifa zaidi zitafuata kutokana na serikali kupinga.
Mshauri wa habari wa rais(president media adviser amekanusha ripoti kuwa rais amepinduliwa, jengo la television ya taifa limezungukwa na wanajeshi. Major general Godefroid Niyombare amesema amemuondoa rais kwenye madaraka yake.
Wakati habari hizo zikitokea burundi rais wa nchi hiyo yuko Tanzania katika maongezi ya amani kuhusiana na mikataba ya Afrika Mashariki kuhusiana na utawala.chini picha za Nkurunziza nchini Tanzania.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment