Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewaapisha Wakuu wa Mikoa wapya wa mikoa 26 ya Tanzania.
Wakuu hao wa Mikoa ni pamoja na :
Paul Makonda – Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.
Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Elias Kyunga – Mkuu wa Mkoa wa Geita.
Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu – Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
Meja Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga – Mkuu wa Mkoa wa Katavi.
Brigedia Jeneral Mstaafu Emmanuel Maganga – Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.
Godfrey Zambi – Mkuu wa Mkoa wa Lindi.
Steven Kebwe – Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.
Kamishna Mstaafu wa Polisi Zelote Steven – Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.
Anna Malecela Kilango – Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Mhandisi Methew Mtigumwe – Mkuu wa Mkoa wa Singida.
Antony Mataka – Mkuu wa Mkoa wa Simiyu.
Aggrey Mwanri – Mkuu wa Mkoa wa Tabora.
Martine Shigela – Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
Jordan Mungire Rugimbana – Mkuu wa Mkoa Dodoma.
Said Meck Sadick – Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.
Magesa Mulongo – Mkuu wa Mkoa Mara.
Amos Gabriel Makalla – Mkuu wa Mkoa Mbeya.
John Vianey Mongella – Mkuu wa Mkoa Mwanza.
Daudi Felix Ntibenda – Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Amina Juma Masenza – Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
Joel Nkaya Bendera – Mkuu wa Mkoa wa Manyara.
Halima Omary Dendegu – Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.
Rehema Nchimbi – Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
Mhandisi Evarist Ndikilo – Mkuu wa Mkoa wa Pwani.
Said Thabit Mwambungu – Mkuu wa Mkoa Ruvuma.
Luteni Mstaafu Chiku Galawa – Mkuu wa Mkoa wa Songwe (Mkoa mpya).
No comments:
Post a Comment