Wezesha

kama una maoni au habari tafadhali tutumie kwa kupitia email yetu.shanellally@gmail.com

Wednesday, 14 January 2015

FALCAO ANAWEZA KUONDOKA MAN U


Mkolombia , anapata  £265,000  kwa wiki, amefunga magoli matatu katika uwepo wake mara  13 tangu asaini kutoka  Monaco kwa mkopo wa thamani ya  £6m September.
na hatimae kumnunua kwa £40.
"Atacheza katika klabu maaraufu msimu ujao , pengine Manchester United au la ," alisema wakala wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka  28 Jorge Mendes.
Kiwango cha Facao kimeshuka kutokana na maumivu

Falcao at Manchester United


Goals: 3 Total shots: 17
Appearances: 13 Shot conversion rate: 17.7%
Minutes played: 604 Assists: 3
Minutes per goal: 201.3 Chances created: 10

No comments:

Post a Comment