Wezesha

kama una maoni au habari tafadhali tutumie kwa kupitia email yetu.shanellally@gmail.com

Saturday, 24 January 2015

KIKWETE ATEUA MAWAZIRI


Ikulu imeitisha mkutano wa ghafla na waandishi wa habari muda mfupi uliopita . Taarifa zinasema ni kwamba mkutano huu umeitishwa ili kutangaza mabadiliko madogo ya mawaziri na mawaziri hawa wanapaswa kuapishwa leo kabla ya Rais Kikwete kuondoka kwenda Davos Uswisi kesho hiyo  jioni.

UPDATES:
Katibu Mkuu kiongozi anasoma majina ya mawaziriWalio teuliwa1. George Simbachawene- Waziri Nishati2.Mary Nagu-Waziri wa Nchi mawasiliano na Uratibu3.Christopher Chiza-Waziri uwezeshaji na Uwekezaji4.Halson Mwakyembe-Ushirikiano wa
afrika mashariki5.Lukuvi-Ardhi Nyumba na Makazi6.Steven Wasira-Kilimo chakula na Ushirika7.Samwel Sitta -Wizara ya Uchukuzi8.Jenista Muhagama-Sera na uratibu wa Bunge

Mawaziri Kamili
George Simbachawene- Waziri wa Nishati na MadiniMary Nagu -Waziri wa nchi Mahusiano na UratibuHarrison Mwakyembe - Waziri wa Afrika Mashariki. Wiliam Lukuvi - Waziri wa Ardhi Nyumba na MakaziSteven Wassira - Waziri wa Kilimo Chakula na UshirikaSamwel Sitta - Waziri wa UchukuziJenista Mhagama - Waziri wa Sera na Uratibu wa BungeChristopher Chiza- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na UwezeshajiManaibu WaziriSteven Masele - Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais MuunganoAngellah Kairuki - Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na MakaziUmmy Mwalimu- Naibu Waziri wa Katiba na SheriaAnna Kilango- Naibu waziri wa ElimuCharles Mwijage - Naibu Waziri wa Nishati na Madini

No comments:

Post a Comment