Wezesha

kama una maoni au habari tafadhali tutumie kwa kupitia email yetu.shanellally@gmail.com

Tuesday, 10 February 2015

GOROFA LAWAKA MOTO DAR

Gorofa moja mjini Dar es salaam  mtaa wa libya limewaka moto na chanzo cha moto bado hakijajulikana.
Chini ni baadhi ya picha za moto huo.



No comments:

Post a Comment