kama una maoni au habari tafadhali tutumie kwa kupitia email yetu.shanellally@gmail.com
Wednesday, 17 June 2015
MUFTI SIMBA AZIKWA
Shekh mkuu wa Tanzania Mufti Shaban Simba amezikwa jana na mazishi yake yameudhuriwa na viongozi mbali mbali wa kitaifa akiwemo Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete.zifuatazo chini ni picha za matukio ya mazishi.
No comments:
Post a Comment